Entdecke den MTA Podcast - der dich auf eine spirituelle Reise mitnimmt. Wir bieten dir einen DeepTalk der besonderen Art - ungefiltert und ehrlich. Mit unserem Format möchten wir dir helfen, deine spirituelle Entwicklung voranzutreiben.Unsere Episoden sind gefüllt mit spannenden Geschichten und Portraits von Muslimen aus Deutschland. Abonniere jetzt den Kanal und sei bei jeder neuen Episode dabei!
…
continue reading
Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea iwe ni katika uga wa uchumi na siasa duniani kote.
…
continue reading
Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
…
continue reading
On The Road with the MTA is a weekly podcast from The Mass Transportation Authority in Flint Michigan. Join us each week as we explore how the MTA is helping our community grow. We are the Flint Mass Transportation Authority... ”Where Transportation Goes, Community Grows!”
…
continue reading
MTatey Talk Entrepreneurship Business Sports card collecting
…
continue reading
Welcome to Lizz Mtango, where amazing things happen.
…
continue reading
Karibu katika Podcast ya Mjasiriamali wa Mtandao, sehemu ambapo utajifunza jinsi Ya kutumia mtandao wa internet kujenga na kukuza biashara yako
…
continue reading
www.islamnu.nl
…
continue reading
m.t.a.r.s (me talking about random stuff)is basically me, ranting or discussing random topics. Enjoy!
…
continue reading
True stories with a little twist, lots of lessons and something new that you never knew. Mostly narrated in swahili, sheng' and a little english. Enjoy.
…
continue reading
Mallu Loves music Loves to talk Just for fun
…
continue reading
Dante Mtanda interviews Tari Mapfumo on her choice of career and work .
…
continue reading
Revista MTA es una revista perteneciente al Movimiento Apóstólico Schoenstatt, creada por la Juventud Masculina de Schoenstatt de San Isidro, Argentina. Surge de la necesidad de compartir con el mundo todo eso que nos regala Dios día a día, dentro y fuera del Movimiento. A través del Podcast publicamos diferentes audios relacionados.
…
continue reading
1
MTA PODCAST #21 | Tahir Chaudhry
1:11:34
1:11:34
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
1:11:34
#Islam #Ahmadiyya #Religion In dieser Folge MTA Podcast ist der Journalist Tahir Chaudhry zu Gast. Entstanden ist ein Gespräch über seine Überzeugungen, sein Verständnis von Wahrheit und Gerechtigkeit und was ihn dazu bewegt hat, Journalist zu werden. Außerdem spricht er darüber, was er an der Gesellschaft auszusetzen hat, wieso es so viele Krisen …
…
continue reading
1
On The Road With The MTA Episode 185 -- Let's Meet The MTA's Very Own Kevin Galloway and Michelle Ruffin!
25:40
25:40
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
25:40
Joining Stephanie K and Jay this week in studio is the MTA's very own Kevin Galloway and Michelle Ruffin. Kevin is the MTA's Manager of Fixed Route Operations and Michelle is a Peak Regional Supervisor. Learn more on how you can join the MTA team at https://www.mtaflint.org/careers/על ידי Flint MTA
…
continue reading
Hii leo jaridani utasikia kuhusu ushirikishwaji wa vijana katika vita dhidi ya mabadiliko ya tabianchi kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa Maendeleo UNDP.Pia utasikia muhtasari wa habari kuhusu wasaka hifadhi huko nchini Uingereza kuhamishiwa Rwanda, Makaburi ya halaiki huko Gaza na kuongezeka kwa mlipuko wa ugonjwa wakipindi pindu duni…
…
continue reading
1
Rein Paulsen: Wakati wa kuchukua hatua kuepusha baa la njaa Sudan ni sasa
3:27
3:27
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
3:27
Katika mahojiano na Idhaa ya Umoja wa Mataifa, afisa mwandamizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) anayehusika na masuala ya dharura na mnepo, Rein Paulsen ametahadharisha kuwa hatari ya kutokea baa la njaa nchini Sudan ni halisi na kwa hivyo wakati wa kuchukua hatua ni sasa. Sabrina Moshi anasimulia.…
…
continue reading
1
DRC: WFP waomba msaada wa $Mil 425 kusaidia wakimbizi wa ndani
1:49
1:49
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
1:49
Wakati Mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya Kidemorkasia Kongo DRC ikiripoti kuwa na zaidi ya wakimbizi wa ndani 738,000 kwa kipindi cha mwaka huu wa 2024 pekee kutokana na kuongezeka kwa machafuko, Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP limeeleza kuwa na uhitaji wa haraka wa dola milioni 425 ili waweze kuwasaidia wakimbizi hao wa…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia ripoti ya hali ya joto dunianina madhara yake kwa afya na wafanyakazi, Naomi la ufadhili kwa ajili ya wakimbizi wa ndani DR Congo. Makala tunakupeleka nchini Sudan na mashinani nchini Sudan Kusini, kulikoni? Ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la kazi la Umoja wa Mataifa duniani ILO, inasema zaidi ya asilimia 70 ya w…
…
continue reading
1
ILO: Joto la kupindukia linaathiri asilimia 70 yawafanyakazi kote duniani
2:58
2:58
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
2:58
Ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la kazi la Umoja wa Mataifa duniani ILO, inasema zaidi ya asilimia 70 ya wafanyakazi wote duniani wanakabiliwa na uwezekano wa hatari za kiafya kutokana na mabadiliko ya tabianchi. Asante Anold, akizungumza na waandishi wa habari hii leo mjini Geneva Uswis wakati wa uzinduzi wa ripoti hiyo Manal Azzi, afisa wa…
…
continue reading
1
Lugha ya kichina imepanua fursa za ajira kwa wanafunzi wa SAUT
5:18
5:18
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
5:18
Lugha ni miongoni mwa njia za kimsingi za kujenga utangamano duniani. Umoja wa Mataifa unatambua kuwa lugha ni chombo cha kusongesha tamaduni na miongoni mwa lugha zilizotengewa siku mahsusi kusherehekewa ni kichina ambacho shamrashamra zake ni tarehe20 mwezi Aprili ya kila mwaka.Lugha hii imesambaa duniani ikiwemo Tanzania ambako hii leo Sabrina M…
…
continue reading
1
Mkuu wa majeshi ya Kenya Francis Ogolla aaga dunia, ziara ya wajumbe wa EU DRC
20:07
20:07
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
20:07
Makala hii inaangazia yaliyojiri nchini Kenya na kifo cha mkuu wa majeshi ya nchi hiyo KDF aliyepoteza maisha na maafdisa wengine tisa wa jeshi katika ajali ya helikopta Alhamisi Aprili 18, rais William Ruto alitangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa, mgomo wa wafanyabiashara huko Kampala Uganda, ziara ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa na EU huko Go…
…
continue reading
1
Joram Nkumbi na Vivian Joseph: Vijana wa Afrika lazima tuchangamkie fursa na kujifunza toka kwa wenzetu
3:19
3:19
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
3:19
על ידי Leah Mushi/Flora Nducha
…
continue reading
1
Francesco La Camera: Ushirikiano wa kimataifa utasaidia kuhamia haraka katika nishati jadidifu
2:27
2:27
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
2:27
על ידי Leah Mushi/Anold Kayanda
…
continue reading
Ushirikiano wa kimataifa utasaidia kufanikisha kuhamia katika nishati jadidifu - Francesco La Camera.Vijana wa Afrika lazima tuchangamkie fursa na kujifunza: Joram Nkumbi na Vivian Joseph.Lugha ya kichina imepanua fursa za ajira kwa wanafunzi wa SAUT – Tanzania.Mashinani ni nchini Kenya kusikia jinsi ambavyo mafunzo ya ukulima endelevu na mikopo ya…
…
continue reading
1
Jifunze Kiswahili: Tofauti ya maneno “Adhiri na hadhiri.”
1:11
1:11
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
1:11
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili, mchambuzi wetu Dkt. Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia tofauti ya “Adhiri; na hadhiri.”על ידי Dkt. Josephat Gitonga
…
continue reading
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina amabyo hivi karibuni tulizungumza na Peter Mmbando kutoka Tanzania akifafanua nini wanafanya ili kuimarisha matumizi endelevu ya teknolojia ya kidijitali. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na ufafanuzi na tofauti ya maneno “Adhiri; na hadhiri."Wataalam wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wameelezea h…
…
continue reading
1
Vijana wakiwezeshwa wanaweza kuvumbua teknolojia ya kusongesha malengo ya maendeleo endelevu
8:35
8:35
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
8:35
Hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa kunafanyika jukwaa la vijana la Baraza la kiuchumi na kijamii ECCOSOC ambalo linatoa ukumbi wa kimataifa wa mazungumzo kati ya nchi wanachama na viongozi vijana kutoka kote ulimwenguni kujadili suluhu za changamoto zinazoathiri ustawi wa vijana. Hafla hii pia hutumika kama nafasi ya kipekee kwa vijana kushiriki …
…
continue reading
1
Mapigano na mizozo DR Congo yanyima wananchi manufaa ya utajiri wa nchi yao - Türk
2:31
2:31
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
2:31
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu Volker Türk ambaye yuko katika ziara rasmi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC amestaajabu ni kwa vipi utajiri wa maliasili uliosheheni kwenye taifa hilo umeleta manufaa kidogo kwa wananchi wako kutokana na ghasia na mapgano. Assumpta Massoi na maelezo zaidi.Video ya Umoja wa Mataif…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia ghasia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC na jitihada za Umoja wa Mataifa za kukwamua hali ya Kibinadamu nchini Ethiopia. Makala tunasalia hapa makao makuu na mashinani tunaelekea nchini Madagascar, kulikoni?Kaminshna Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu Volker Türk ambaye yuko katika ziara rasmi n…
…
continue reading
1
Mkutano wa ufadhili wapata msaada wa fedha wa dola milioni 610 kwa ajili ya Ethiopia
1:56
1:56
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
1:56
Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Kutoa ahadi kwa ajili ya ufadhili wa kukwamua hali ya Kibinadamu nchini Ethiopia uliokamilika jana mjini Geneva, Uswisi umetangaza kwamba wafadhili 20 wametangaza msaada wa kifedha wa Dola za Marekani milioni 610 angalau kuhakikisha misaada kwa miezi michache ijayo.Mkutano huo uliolenga kukusanya dola bilioni 1 za kimarek…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambapo Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Tanzania, Abeida Rashid Abdallah anafafanua kwa nini Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Zanzibar ni chanda na pete. Pia tunakuletea muhtasari ya habari na mashinani kama zifuatazo.Leo mashirika ya U…
…
continue reading
1
Ni dhana potofu kudai Wamaasai wanaua Simba ili kupata mke - Alois Porokwa
3:03
3:03
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
3:03
Katika harakati za kupambana na mabadiliko ya tabianchi, kuna wakati jamii ambazo bado zinaishi kiasili zimekuwa zikilaumiwa kwamba zinachangia kuharibu mazingira kutokana na wao kuishi katika mazingira fulani; mathalani misitu na mbuga jambo ambalo linakanushwa na jamii hizo wakidai kwamba kimsingi wao ndio watunzaji wazuri wa mazingira kwani wana…
…
continue reading
1
Jukwaa la Jamii za watu wa asili lafungua pazia katika makao Makuu ya Umoja wa Mataifa
1:53
1:53
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
1:53
Hii leo katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa hapa jijini New York Marekani, Jukwaa la Kudumu la Umoja wa Mataifa la watu wa asili limeanza rasmi na litadumu kwa muda wa wiki mbili likiwaleta pamoja zaidi ya washiriki 2000 wa jamii za asili kutoka kila pembe ya dunia kujadili masuala mbalimbali. Hiki ni kikao cha 23 cha jukwaa hili la kudumu la wa…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia utekwaji nyara wa watoto wa kike 275 huko Chibok nchini Nigeria, na uwezeshaji kiuchumi wa watu wa asili. Makala inamulika masuala ya mazingira ikiangazia watut wa asili na mchango wao, na mashinani tunakupeleka nchini Chad kusikia simuliza ya mkimbizi kutoka Sudan. Nigeria inapotimiza miaka 10 tangu tukio la utekwaji n…
…
continue reading
1
UNICEF: Miaka 10 ya watoto kutekwa Chibok, bado hakuna mifumo ya ulinzi
2:58
2:58
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
2:58
Nigeria inapotimiza miaka 10 tangu tukio la utekwaji nyara la watoto wa kike 275 huko Chibok, kaskazini magharibi mwa taifa hilo, hadi sasa bado watoto 90 wamesalia mateka na nchi hiyo inasalia na kumbukumbu ya tukio linguine la wanafunzi wa shule kutekwa nyara jimboni Kaduna mwezi Machi mwaka huu, hali inayosababisha Umoja wa Mataifa kutoa wito ma…
…
continue reading
1
Miaka 30 ya mauaji ya kimbari Rwanda, UN yaondoa jeshi lake DRC na mengineyo duniani
20:15
20:15
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
20:15
Makala yameangazia mambo mengi ikiwemo maadhimisho ya miaka 30 ya mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi yanaendelea wiki hii, MONUSCO kuanza kuwaondoa wanajeshi wake eneo la mashariki mwa DRC, mgomo wa madaktari nchini Kenya, mwaka mmoja wa mzozo wa Sudani kutimia jumatatu ya aprili 15 na mengineyo duniani. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kup…
…
continue reading
1
Guterres/Kwibuka 30: Vijana kemeeni kauli za chuki kokote muisikiapo na muionapo
3:37
3:37
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
3:37
Hii leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa, Baraza Kuu limekuwa na tukio maalum la kumbukizi ya miaka 30 ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda au KWIBUKA30, ambapo Katibu Mkuu wa Umoja huo, Antonio Guterres ametumia hotuba yake pamoja na mambo mengine kuwasihi vijana kutoka taifa hilo la Afrika Mashariki kukemea chuki kokote wanapoisikia au kuiona…
…
continue reading
1
Kikosi cha 11 cha walinda amani kutoka Tanzania, TANZBATT-11 watoa matibabu kwa raia nchini DRC
3:38
3:38
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
3:38
Kikosi cha 11 cha walinda amani kutoka Tanzania, TANZBATT-11 kinachohudumu kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, MONUSCO wametekeleza wajibu wao wa kulinda raia kwa kuwapatia huduma ya matibabu kwenye Kijiji cha Matembo kilichoko mjini Beni jimboni Kivu Kaskazini. Shuhuda wetu ni Kapteni Fa…
…
continue reading
1
On The Road With The MTA Episode 184 -- Help Crime Stoppers Of Flint Take A Bite Out Of Crime!
18:21
18:21
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
18:21
This week Stephanie K and Jay welcome to the studio Julie Lopez the Program Director for Crime Stoppers Of Flint. The mission of Crime Stoppers is to partner with law enforcement, the media, and the community to help solve and prevent crime. For more information visit https://www.crimestoppersofflint.com/…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia kumbukizi wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda, na wakimbizi wa Sudan wanaovuka mpaka kuelekea nchini Sudan Kusini. Makala na mashinani tunakupeleka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, kulikoni?Hii leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa, Baraza Kuu limekuwa na tukio maalum la kumbukizi ya miaka 30 ya mauaji …
…
continue reading
1
Wakimbizi kutoka Sudan wanoingia Sudan Kusini wanaendelea kuongezeka
2:42
2:42
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
2:42
Tarehe 15 April wiki ijayo siku ya jumatatu nchi ya Sudan itatimiza mwaka mmoja rasmi tangu kuanza kwa mzozo kati ya Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) na Vikosi vya jeshi la Sudan (SAF). Vita hiyo imesababisha maelfu ya watu kuwa wakimbizi wa ndani na wengine kusaka hifadhi nchi Jirani. Mashirika ya misaada ya kibinadamu nayo yamekuwa mstari wa mbe…
…
continue reading
1
MTA PODCAST #20 | Imam Imtiaz Ahmad Shaheen
1:11:33
1:11:33
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
1:11:33
#Ahmadiyya #Glaube #Frieden In dieser Folge MTA Podcast ist Imam Imtiaz Ahmad Shaheen zu Gast. Er ist Imam und Theologe sowie der Vorsitzender der Ahmadiyya Jugend in Deutschland. Im Podcast spricht Imtiaz Ahmad Shaheen über das Leben des Verheißenen Messias (as). In einer wissenschaftlichen Arbeit hat er sich stärker mit der Biografie von Hazrat M…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambapo Alice Nderitu, Mshauri Maalum wa Umoja wa Mataifa katika kuzuia mauaji ya kimbari akiwa Kigali hivi majuzi kwenye kumbukizi anamulika nini kifanyike kuhakikisha kitendo kama hicho kinasalia historia. Pia tunakuletea muhtasari wa habari za Gaza, Sudan, Uganda na uchambuzi wa neno “PAMBAJIO”.Wakati mg…
…
continue reading
1
Jifunze Kiswahili: Pata uchambuzi wa neno “PAMBAJIO”
1:06
1:06
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
1:06
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo fursa ni yake mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania , BAKITA anafafanua maana ya neno “PAMBAJIO”.על ידי Onni Sigalla
…
continue reading
1
Alice Nderitu: Dunia bado haijajifunza lolote kuhusu mauaji ya kimbari ya Rwanda dhidi ya Watutsi
6:08
6:08
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
6:08
Miaka 30 iliyopita mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi nchini Rwanda yaliyoishangaza, dunia yalitokea kuanzia Aprili 7 mwaka 1994 na kudumu kwa siku 100 zilioghubikwa na ukatili wa hali ya juu na mamilioni ya watu kufurushwa makwao. Tangu wakati huo Umoja wa Mataifa umekuwa mstari wa mbele kuchukua hatua kuhakikisha asilani jinamizi hilo halitokei t…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka mjini Kigali ambako kumbukumbu ya mauaji ya kimbari imefanyika mwishoni mwa wiki na itaendelea kwa siku 100. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na mashinani tunakupeleka nchini Sudan Kusini.Baada ya huduma ya ulinzi wa amani kwa zaidi ya miaka 20 huko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,…
…
continue reading
1
Mariam Suleiman: Wanawake tuna ujuzi, tuna uweo na tunaweza
2:07
2:07
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
2:07
Mwanamke akiwezeshwa anaweza, huo ndio umekuwa usemi wa Umoja wa Mataifa ukipigia chepuo wanawake kujumishwa katika kila Nyanja ya Maisha ili waweze kujikwamua kiuchumi na kuchangia katika maendeleo ya jamii. Usemi huo unaungwa mkono na mwanamke mkimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC ambaye sasa anaishi Kwenye kambi ya wakimbizi ya Ka…
…
continue reading
1
Raia nchini DRC wasimulia jinsi wanavyonufaika na miradi iliyofanikishwa na MONUSCO
3:04
3:04
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
3:04
Kadri siku za MONUSCO kuondoka nchini DRC zinavyokaribia, vivyo hivyo wananchi wanufaika wa miradi iliyofanikishwa na ujumbe huo wanazidi kujitokeza kuelezea hisia zao, kwani ujumbe huo unatakiwa uwe umeondoka nchini humo mwishoni mwa mwaka huu wa 2024.Miongoni mwa wanufaika ni shule ya msingi Lubumba hapa Kamanyola na Mwalimu Mkuu Texas Chekabiri …
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia ombi la Palestina kujiunga rasmi kama mwanachama wa Umoja wa Mataifa, na uwezeshaji wa wanake ambapo tunatembelea mkimbizi katika kambi ya Kakuma nchini Kenya. Makalatunakupeleka nchini DRC na mashinani nchini Tanzania.Huko Gaza, watoa misaada ya kibinadamu wakiwa na wasiwasi mkubwa juu ya mipango ya Israel kuvamia eneo…
…
continue reading
1
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kujadili ombi la Palestina kuwa mwanachama
2:24
2:24
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
2:24
Huko Gaza, watoa misaada ya kibinadamu wakiwa na wasiwasi mkubwa juu ya mipango ya Israel kuvamia eneo la Rafah hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa Palestina imeanza mchakato wa kuwa mwanachama rasmi wa Umoja wa Mataifa kwani hivi sasa ujumbe wake ni uangalizi usioipatia hadhi ya kupiga kura. Mchakato huo unaanzia ndani ya Baraza la Usalama la Umo…
…
continue reading
1
Maadhimisho ya miaka 30 mauaji ya kimbari nchini Rwanda, uteuzi wa waziri mkuu mpya DRC
20:18
20:18
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
20:18
Ni makala maalum, kuhusu kumbukumbu ya miaka 30 ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda mwaka 1994, tunahoji mchakato wa maridhiano umefikia wapi miaka 30 baadaye..... hali iko vipi kwa sasa. na dunia imepata somo gani? Pia kuhusu mauaji hayo, tutarejelea kauli ya Rais Emanuel Macron iliyoonekana kuwa inalenga kutuliza hisia za waathiriwa. Huko DRC uteu…
…
continue reading
1
UNICEF na jitihada za kuimarisha huduma za Afya ya Akili kwa vijana nchini Rwanda
2:54
2:54
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
2:54
Makala hii inaeleza safari ya matumaini na uthabiti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNICEF Rwanda linaposhirikiana na Rwanda Biomedical Center (shirika kuu la kitaifa la utekelezaji wa afya lenye jukumu la kufanya utafiti wa kisayansi, kutoa huduma za uchunguzi, na kutekeleza afua za kiafya ili kulinda taifa la Rwanda dhidi ya…
…
continue reading
1
Mlo shuleni wawawezesha wasichana kuepuka ndoa za utotoni Sudan Kusini
3:02
3:02
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
3:02
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa chakula duniani WFP nchini Sudan Kusini kupitia programu yake ya chakula shuleni imefanikiwa kuwasaidi wasichana wengi kuepukana na ndoa za utotoni. Sudan Kusini ni moja kati ya mataifa yenye viwango vya chini vya watu wanaojua kusoma na kuandika hususani kwa wasichana. Jamii katika taifa hilo la afrika ya m…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia vita katika Ukanda wa Gaza ukielekea miezi siti hapo kesho, na programu ya mlo shuleni nchini Sudan Kusini. Makala tunakupeleka nchini Rwanda na mashinani nchini DRC, kulikoni?”.Kesho kutwa jumapili ikiwa ndio itatimu miezi sita ya mzozo wa Gaza, huko Mashariki ya Kati, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres h…
…
continue reading
1
On The Road With The MTA Episode 183 -- 2024 GHP Health Heritage Essay Contest!
14:10
14:10
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
14:10
Stephanie K and Jay welcome back Shannon Ciszak from the Genesee Health Plan. Shannon is here to talk about the 9th annual Health Heritage Essay Contest. The deadline for your student to enter is coming up fast on April 22nd. For more information on this contest visit https://geneseehealthplan.org/2024-ghp-essay-contest/…
…
continue reading
1
Kuelekea miezi 6 ya mzozo wa Gaza, Guterres apinga matumizi ya akili mnemba kusaka wahalifu
2:40
2:40
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
2:40
Kesho kutwa jumapili ikiwa ndio itatimu miezi sita ya mzozo wa Gaza, huko Mashariki ya Kati, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres hii leo amezungumza na waandishi wa habari jijini New York, Marekani akirejelea wito wake wa sitisho la mapigano kwa misinigi ya kiutu, kuachiliwa kwa mateka wote bila masharti, ulinzi wa raia na misaada ya k…
…
continue reading
1
Ujumuishwaji wa wanawake katika huduma za kifedha ni muhimu - Nangi Massawe, Benki Kuu Tanzania
10:23
10:23
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
10:23
Lengo namba 5 la maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa au SDG5 linahimiza kila nchi kuhakikisha wanawake wanawezeshwa na kujumuishwa katika kila nyanja ya Maisha ili kuhakikisha ifikapo mwaka 2030 hawasalii nyuma katika maendeleo.Moja ya masuala yanayotiliwa msukumo zaidi hivi sasa ni ujumuishwaji wa wanwake katika masuala ya huduma za kifedha n a…
…
continue reading
1
Jifunze Kiswahili: Tofauti ya maneno “Adhuhuri na Alasiri.”
1:11
1:11
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
1:11
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili, mchambuzi wetu Dkt. Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia tofauti ya “Adhuhuri na Alasiri.”על ידי Dkt. Josephat Gitonga
…
continue reading
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayoangazia ujumuishwaji wa wanawake katika masuala ya kifedha kwa lengo la kutimiza lengo la Umoja wa Mataifa la usawa wa kijinsia katika Nyanja zote. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na katika kujifunza kiswahili tunakuletea ufafanuzi na tofauti ya maneno “Adhuhuri na Alasiri”.Leo ni siku ya kimataif…
…
continue reading
1
UNCTAD, UNECA, Kenya kuunda viashirio vipya vya kupima usawa wa kijinsia katika sekta ya biashara.
3:08
3:08
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
3:08
Umoja wa Mataifa umekuwa ukipigia upatu lengo namba tano la Malengo Endelevu ya Umoja huo linalohimiza usawa kwa wote katika nyanja zote ifikapo mwaka 2030. Hata hivyo ili kuelewa jinsi biashara inavyoathiri wanaume na wanawake ni muhimu kuunda sera za biashara zinazojumuisha zaidi na zenye usawa ambazo zinakuza usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa k…
…
continue reading
1
Mbinu za medani tulizopatiwa ni za kimataifa- Afisa FARDC
2:12
2:12
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
2:12
Siku zikizidi kuhesabiwa kwa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, MONUSCO, kuondoka nchini humo, ujumbe huo unaendelea kutekeleza wajibu wake wa kujengea uwezo jeshi la serikali, FARDC kuweza kukabili vikundi vilivyojihami ambavyo vinatajwa kuhusika na asilimia 65 ya matukio ya ukiukwaji wa haki …
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia hali ya kibinadamu katika ukanda wa Gaza, na machafuko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC. Makala inatupeleka nchini kenya na mashinani nchini Tanzania, kulikoni?Mashirika ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa leo kwa mara nyingine yameonya kwamba bila dalili zozote za usitishaji mapigano Gaza hali ya kibinadamu i…
…
continue reading