…
continue reading
1
EAC: Namna mafunzo ya ujasiriamali yanaweza kuwainua vijana
9:56
9:56
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
9:56
Katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwama kuangaza na kumulika namna mafunzo ya ujasiriamali yanaweza kuwainua vijana walio ukanda wa Afrika mashariki kupunguza ukali wa Maisha kutokana na kukosa ajira.על ידי RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Maonesho ya awamu ya19 ya biashara katika nchi za Afrika Mashariki
9:59
9:59
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
9:59
Maonyesho haya pamoja na kutoa fursa kwa makampuni ya Afrika mashariki kujifunza na kupanua wigo wa biashara za nje kwakutumia fursa zilizopo za makubaliano ya kibiashara kati ya nchi washiriki nahata kuvuka mipaka ya kufikia juuiya nyingine kwama vile SADC, AGOA,na EBAעל ידי RFI Kiswahili
…
continue reading
1
EAC: Fursa za uchumi wa samawati katika Ziwa Victoria
9:59
9:59
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
9:59
על ידי RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Maendeleo ya shughuli za uvuvi kwenye maziwa Tanganyika na Victoria
9:59
9:59
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
9:59
Hivi karibu serikali ya Tanzania iliitaka taasisi ya uvuvi ya Ziwa Victoria (LVFO) kuandaa mkakati wa kulifunga ziwa hilo kwa kipindi kirefu. Kauli hiyo inakuja siku chache baada ya kufunguliwa kwa Ziwa Tanganyika lililofungwa kwa miezi mitatu kutoka Mei 15 hadi Agosti 15, 2024 kwa ajili ya kuruhusu samaki kuweza kuzaliana kwa wingi…
…
continue reading
1
Hofu kwa wavuvi wa biashara ya samaki Ziwa Victoria nchini Tanzania
9:59
9:59
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
9:59
Serikali ya Tanzania imekuwa ikiteleza kanuni za mwaka 2009 juu ya kulifunga ziwa hilo kwa muda wa siku 10 utaratibu huu umekuwa endelevu hadi sasa ambapo kila mwezi wavuvi hawaruhusiwi kujishughulisha na shughuli za uvuvi kwa siku 10, ikiwa na maana kwamba katika kipindi cha mwaka mzima, Ziwa hilo linafungwa kwa siku 120, sawa na Robo mwaka yaani …
…
continue reading
1
Shughuli za uvuvi zarejelewa katika Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma
9:59
9:59
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
9:59
Shughuli za Uvuvi katika Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma zilifungwa kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia mwezi Mei 15 hadi Agosti 15, mwaka huu lengo likiwa ni kupumzisha ziwa hilo, ili kuchagiza ongezeko la Samaki Kufungwa kwa ziwa hilo ni makubaliano yaliyoazimiwa katika kikao kilichofanyika mwaka 2022 kikihusisha nchi zinazozunguka ziwa hilo ambaz…
…
continue reading
1
Namna siku ya vijana ilivyoadhimishwa katika nchi za Afrika Mashariki
9:59
9:59
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
9:59
Siku ya Vijana Ulimwenguni, ambayo huadhimishwa tarehe 12 Agosti kila mwaka, ilianzishwa na Umoja wa Mataifa mnamo mwaka wa 1999 kupitia maazimio ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Lengo kuu la siku hii ni kutambua mchango wa vijana katika jamii, kuhamasisha ushirikiano na kuunga mkono haki za vijana, na kuonyesha jinsi vijana wanavyoweza kuchangia…
…
continue reading
1
Uchaguzi wa urais uliofanyika nchini Rwanda ambapo rais Kagame alitangazwa mshindi
9:58
9:58
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
9:58
Karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwama nchini Rwanda tukianga zoezi la kupiga kura lilifanyika Julai 14 na 15, 2024.על ידי RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Harakati za kuelekea uchaguzi mkuu wa urais nchini Rwanda
9:59
9:59
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
9:59
Raia wa Rwanda ambao ni wanachama wa Jumuiya ya Afrika mashariki, kwa sasa wapo katika kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu Uchaguzi utakaofanyika Julai 15, 2024 kumchagua rais wao mpya Pamoja na wabunge Rais anayemaliza muda wake Paul Kagame anawania kwa muhula wa nne akisaka ridhaa ya Wanyarwamda kusalia katika Ikulu ya Kigali Taifa la Rwanda linalo…
…
continue reading
1
Changamoto za raia wa Afrika Mashariki kupata maji kwa ukaribu
9:59
9:59
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
9:59
Makala ya Afrika mashariki ikiangazia juu ya namna wakazi wa Jumuiya ya Afrika mashariki wakiwa katika mkwamo wakupata katika huduma ya maji kwa ukaribu licha uwepo wa vyanzo vikumbwa vya maji. Kwa mujibu wa tovuti ya Jumuiya ya Afrika mashariki, Maziwa makubwa yote mawili kwa maana ya ziwa Victoria na Tanganyika, na hatimaye, Mto White Nile hutege…
…
continue reading
1
Tanzania: Kufungwa kwa muda kwa uvuvi ndani ya Ziwa Victoria
9:59
9:59
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
9:59
Serikali inasema hatua hiyo ya kufungwa kwa giza inalenga kuwapa nafasi samaki wadogo kua.על ידי RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Mvutano kati ya Somalia na Ethiopia kuhusiana na suala la Somaliland
9:59
9:59
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
9:59
Katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwa pembe ya Afrika tukiangaza juu ya vuta nikuvute katika serikali ya mjini Mogadishu na Addis Ababa.על ידי RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Kumbukizi ya miaka 28 tangu kuzama kwa meli ya MV Bukoba
9:59
9:59
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
9:59
Baadhi ya Wakazi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kushiriki ibaada ya kumbukizi ya ajali ya MV Bukoba, ibada hiyo imefanyika katika Makaburi ya wahanga wa ajali ya MV Bukoba yaliyopo katika kitongoji cha Igoma Mkoani Mwanza nchini Tanzaniaעל ידי RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Tanzania: Jinsi raia wanaoishi na ulemavu wanapambana kujikimu kichumi
9:59
9:59
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
9:59
Katika mataifa ya Afrika Mashariki, raia wengi wanaoishi na ulemavu wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya kujikimu kiuchumi.על ידי RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Mafundisho potofu kutoka kwa baadhi ya viongozi wa dini Afrika Mashariki
9:59
9:59
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
9:59
Tunaangazia namna viongozi wa dini wamekuwa kinara katika kupambana na mafundisho potofu na kutumia mahangaiko ya waumini wao kama mtaji wa kuvuna utajiri.על ידי RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Juhudi za kupambana na ulawiti wa watoto katika nchi za Afrika mashariki
9:59
9:59
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
9:59
Ulawiti ni janga linaloendelea kuwakumba watoto si tu katika mataifa ya ukanda wa Afrika mashariki bali katika mataifa mbalimbali ulimwenguni. Nchini Tanzania kumekuwa na takwimu za kupanda na kushuka huku baadhi ya wanaharkati wakisema kuwa swala la uzembe limekuwa likichangia kuongezeka kwa ubakaji na ulawiti kwa Watoto Hatua mbalimbali zimekuwa …
…
continue reading
1
Ujumbe unaoandikwa kwenye vyombo vya usafiri katika mataifa ya Afrika
9:59
9:59
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
9:59
Je ujumbe unaoandikwa unahalisia na vitu vilivyowatokea makonda na madereva wa vyombo hivyo.על ידי RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Tanzania:Juhudi za wabunifu katika kupunguza hewa ya ukaa kutunza mazingira
9:59
9:59
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
9:59
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Masuala na Utalii, katika taarifa ya misitu na ufugaji nyuki inabainisha kuwa mkaa ni chanzo kikubwa cha nishati ya kaya katika maeneo ya mijini kwa kupikia na kupasha joto, kwa kuwa inachukuliwa kuwa ya bei nafuu na inapatikanakwaurahisi. Inakadiriwa kuwa asilimia 85 ya watu wote wa Tan…
…
continue reading
1
Fursa za uchumi wa buluu zilizopo katika Ziwa Victoria
9:59
9:59
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
9:59
Uchumi wa Buluu ni dhana pana yenye kubeba maana nzima ya kutumia kila rasilimali itokanayo na rasilimali maji kama Bahari, mito na maziwa. Dhana hii ubeba shuguli mbalimbli ikiwemo utalii, uvuvi, kilimo cha mwani, bandari pamoja na mafuta na gesi zilizomo baharini au katika maziwa. Kwa wakazi wa Jumuiya ya Afrika mashariki hasa katika mikoa inayo …
…
continue reading
Wagonjwa wengi barani Afrika wanahisi kuwa gharama ya matibabu ya figo ipo juu zaidi.על ידי RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Sehemu ya pili: Mradi wa kilimo unaofadhiliwa na AFD mjini Arusha
9:59
9:59
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
9:59
Mradi wa kilimo endelevu unatanua mbawa zake sio tu katika kilimo bali pia kuwajengea uwezo wakulima kufanya shuguli za ufugaji. Mradi huu unatekelezwa kwa ufadhiri wa shirika la maendeleo la Ufaransa AFD katika mkoa wa Arusha nchini Tanzania unakwenda mbali zaidi hadi kuwafikia wanamazingira. Mafuzo wanayopata wanasema yamekuwa chachu yakubadili M…
…
continue reading
1
Utekelezaji wa miradi inayofadhiliwa na shirika la maendeleo la Ufaransa (AFD)
9:58
9:58
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
9:58
Karibu Katika Makala ya Afrika mashariki hii leo inatuwama katika Mkoa wa Arusha palipo makao makuu ya Jumuiya ya Afrika mashariki tukiangaza juu ya miradi ya kilimo endelevu inayotekelezwa kwa ufadhili wa Shirika la maendeleo la Ufaransa AFD.על ידי RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Changamoto zinazotokana na migumo ya wahudumu wa sekta ya usafiri Afrika
9:59
9:59
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
9:59
Raia wengi wa mataifa ya Afrika Mashariki hutegemea pakubwa sekta ya usafiri wa umma kusafiri kutoka sehemu moja hadi nyengine.על ידי RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Simulizi ya maisha ya aliyekuwa rais wa Tanzania, Hayati Hassan Mwinyi
9:58
9:58
נגן מאוחר יותר
נגן מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי
9:58
Historia ya rais mstaafu wa Tanzania, hayati Hassan Mwinyi wakati wa uhai wake.על ידי RFI Kiswahili
…
continue reading