תוכן מסופק על ידי France Médias Monde and RFI Kiswahili. כל תוכן הפודקאסטים כולל פרקים, גרפיקה ותיאורי פודקאסטים מועלים ומסופקים ישירות על ידי France Médias Monde and RFI Kiswahili או שותף פלטפורמת הפודקאסט שלהם. אם אתה מאמין שמישהו משתמש ביצירה שלך המוגנת בזכויות יוצרים ללא רשותך, אתה יכול לעקוב אחר התהליך המתואר כאן https://he.player.fm/legal.
Player FM - אפליקציית פודקאסט
התחל במצב לא מקוון עם האפליקציה Player FM !
התחל במצב לא מקוון עם האפליקציה Player FM !
Habari RFI-Ki
סמן הכל כלא נצפה...
Manage series 1143115
תוכן מסופק על ידי France Médias Monde and RFI Kiswahili. כל תוכן הפודקאסטים כולל פרקים, גרפיקה ותיאורי פודקאסטים מועלים ומסופקים ישירות על ידי France Médias Monde and RFI Kiswahili או שותף פלטפורמת הפודקאסט שלהם. אם אתה מאמין שמישהו משתמש ביצירה שלך המוגנת בזכויות יוצרים ללא רשותך, אתה יכול לעקוב אחר התהליך המתואר כאן https://he.player.fm/legal.
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
24 פרקים
סמן הכל כלא נצפה...
Manage series 1143115
תוכן מסופק על ידי France Médias Monde and RFI Kiswahili. כל תוכן הפודקאסטים כולל פרקים, גרפיקה ותיאורי פודקאסטים מועלים ומסופקים ישירות על ידי France Médias Monde and RFI Kiswahili או שותף פלטפורמת הפודקאסט שלהם. אם אתה מאמין שמישהו משתמש ביצירה שלך המוגנת בזכויות יוצרים ללא רשותך, אתה יכול לעקוב אחר התהליך המתואר כאן https://he.player.fm/legal.
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
24 פרקים
כל הפרקים
×Shaba yetu leo kwenye makala haya inalenga taifa la Qatar ambapo taifa hilo juma hili lilifanikiwa kuwaleta pamoja marais Felix Tshiesekedi wa DRC na mwenzake wa Rwanda Paul Kagme, katika juhudi za kutafuta suluhu kwa mzozo wa mashariki ya DRC. Unafikiri Qatar itafanikiwa kuzima mzozo wa mashariki mwa DRC. Skiza makala haya kujua baadhi ya maoni ya waskilizaji.…
H
Habari RFI-Ki

1 Kenya : Kanisa katoliki latangaza marufuku kwa wanasiasa 10:00
10:00
הפעל מאוחר יותר
הפעל מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי10:00
Tunajadili hatua ya Kanisa la Anglikana nchini Kenya, kwa mara nyingine limesisitiza marufuku ya kuwazuia wanasiasa kuzungumza kanisani katika juhudi za kuzuia wanasiasa kufanya siasa kanisani. Je unazungumziaje hatua hii ya kanisa Anglikana nchini Kenya? Skiza makala haya kuskia baadhi ya maoni ya waskilizaji wetu.…
Katika makala haya tunajadili hatua ya serikali ya Rwanda, kutangaza kusitisha uhusiano wa Kidiplomasia na taifa la Ubelgiji kutokana na kile Rwanda imesema Ubelgiji kuendeleza propaganda kuihusu kutokana na mzozo wa mashariki mwa DRC. Unazungumziaje hatua ya Rwanda Skiza makala haya kuskia baadhi ya maoni ya waskilizaji.…
H
Habari RFI-Ki

1 Watu zaidi ya milioni 6 duniani watakosa mahali pakuishi 10:01
10:01
הפעל מאוחר יותר
הפעל מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי10:01
Tunajadili hatua ya bazara la wakikimbizi la Denmark, kuchachapisha ripoti inayoonesha kuwa, watu zaidi ya milioni 6 duniani watakosa mahali pakuishi ifikapo mwishoni mwa mwaka ujao, kutokana na mizozo, mabadiliko ya tabia nchi na kusitishwa kwa misaada toka Marekani. Unazungumziaje hatua hii? ndilo swali tumeuliza, skiza makala haya kufahamu mengi.…
H
Habari RFI-Ki

1 Maoni yako kutokana na habari zetu juma hili 10:07
10:07
הפעל מאוחר יותר
הפעל מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי10:07
Kila Ijumaa rfi Kiswahili inatoa nafasi kwa mskilizaji kuchaniua mada mbalimbali kuhusu taarifa zetu. Juma hili hizi ni haya ni baadhi ya maoni ya waskilizaji wetu
Shaba yetu inalenga nchini DRC, ambapo taifa la Angola limesema linajaribu kufanikisha mazungumzo ya moja kwa moja kati ya rais wa DRC, Felix Tshisekedi na waasi wa M23, ili kutafuta suluhu la mzozo wa mashariki mwa DRC. Je unafiriki Angola itafanikiwa katika hili? Haya hapa baadhi ya maoni yako.
Mkuu wa majeshi nchini Uganda, ambaye pia ni mwana wa rais Yoweri Museveni, Muhoozi Kainerugaba, amedai wanjeshi wa taifa lake wamewasili Sudan Kusini ili kusaidia jeshi la taifa hilo kutatua mzozo ndani ya serikali ya umoja wa kitaifa Tunakuuliza je mzozo wa Sudan Kusini unastahili kutatuliwa kijeshi? Skiza makala haya kuskiza baadhi ya maoni yenu.…
Shaba yetu leoinalenga nchini Kenya ambapo Vijana wameanza kuandamana kupinga kile wanadai wanasiasa kutoa kiasi kikubwa cha pesa kwenye maeneo ya kuabudu ili hali wao hawana ajira. Tumekuuliza hatua hii ni sahihi? Haya hapa baadhi ya maoni yako.
Mwishoni mwa juma lililopita rais wa Kenya William Ruto na kiongozi wa upinzani Raila Odinga walitiliana saini mkataba wa ushirikiano wa kisiasa, wanaosema utasaidia kutatua changamoto zinazowakabili raia wa taifa hilo. Unaamini makubaliano ya viongozi hawa ni sahihi? Ndilo swali tumekuuliza na haya hapa maoni yako.…
H
Habari RFI-Ki

1 Hatua ya rais Donald Trump kusitisha msaada wakijeshi kwa nchi ya Ukraine 10:10
10:10
הפעל מאוחר יותר
הפעל מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי10:10
H
Habari RFI-Ki

1 Maoni kuhusu vingozi wa kijeshi wa nchi za Afrika Magharibi kutaka kugombea urais 10:08
10:08
הפעל מאוחר יותר
הפעל מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי10:08
Nchini Gabon, kiongozi wa kijeshi jenerali Brice Oligui Nguema ametangaza kuwa atagombea urais katika uchaguzi wa mwezi ujao, baada ya kutwaa madaraka kupitia mapinduzi ya kijeshi ya 2023. Hili linajiri wakati huu viongozi wengine wa kijeshi kwenye nchi za Burkina Faso, Mali na Niger wakielekea kuchukua mkondo huo.…
H
Habari RFI-Ki

1 Kila Ijumaa ni mada huru ambapo unatoa maoni kuhusu ulichokiona wiki hii 10:02
10:02
הפעל מאוחר יותר
הפעל מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי10:02
Leo ni Ijumaa ,,siku ya mada huru kwenye habari rafiki ambapo Tunakupa nafasi ya kuzungumzia suala lolote ambalo limetokea nchini mwako wiki hii au kile ambacho umekisikia kwenye matangazo yetu ya juma hili
H
Habari RFI-Ki

1 Rais wa Uganda Yoweri Museveni asikitishwa na hali ya umaskini nchini mwake 10:06
10:06
הפעל מאוחר יותר
הפעל מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי10:06
Mada ni kuhusu..kauli ya Rais wa Uganda Yoweri Museveni Akiwa katika ziara ya kawaida kuzungumza na raia wake , ameeleza kuguswa na kusikitishwa na hali ya umasikini anayoshuhudia kwenye nchi yake,,,wakati huu tatizo la umasikini linashuhudiwa pia kwenye mataifa mengine ya ukanda.Tulimuuliza mskilizaji anazungumziaje kauli ya Rais Museveni na je viongozi wa ukanda wamefanya vyakutosha kupambana na umasikini?…
H
Habari RFI-Ki

1 Rais wa DRC, Felix Tschsekedi, atangaza kuunda Serikali ya umoja wa kitaifa 10:00
10:00
הפעל מאוחר יותר
הפעל מאוחר יותר
רשימות
לייק
אהבתי10:00
Karibu kwenye kipindi cha leo ambapo tunaangazia tangazo la Rais wa DRC, Felix Tschsekedi, kuwa ataunda Serikali ya umoja wa kitaifa, hatua inayokuja wakati huu akiwa katika shinikizo kutoka ndani na nje ya nchi yake, kuhusu namna alivyoshughulikia mzozo wa mashariki mwa nchi yake, wakati huu waasi wa M23 wakichukua miji zaidi.…
ברוכים הבאים אל Player FM!
Player FM סורק את האינטרנט עבור פודקאסטים באיכות גבוהה בשבילכם כדי שתהנו מהם כרגע. זה יישום הפודקאסט הטוב ביותר והוא עובד על אנדרואיד, iPhone ואינטרנט. הירשמו לסנכרון מנויים במכשירים שונים.