Uchambuzi Wa Kitabu Cha "BIRD BY BIRD"
M4A•בית הפרקים
Manage episode 394720755 series 3280689
תוכן מסופק על ידי Innocent Ngaoh. כל תוכן הפודקאסטים כולל פרקים, גרפיקה ותיאורי פודקאסטים מועלים ומסופקים ישירות על ידי Innocent Ngaoh או שותף פלטפורמת הפודקאסט שלהם. אם אתה מאמין שמישהו משתמש ביצירה שלך המוגנת בזכויות יוצרים ללא רשותך, אתה יכול לעקוב אחר התהליך המתואר כאן https://he.player.fm/legal.
Ni kitabu mahususi kimeandikwa na Anne Lemmot ambacho utajifunza mambo mengi kuhusu uandishi wa vitabu na kuishi maisha yenye uhuru ndani yake. Hakikisha unaandika pembeni mambo ambayo utajifunza kupitia uchambuzi wa kitabu hiki kizuri cha BIRD BY BIRD yaani NDEGE KWA NDEGE. Katika uchambuzi wa kitabu hiki utajifunza sura tano ambazo mwandishi ametushirikisha kuhusu uandishi wa vitabu na ndani ya sehemu hizo zimegwanyikwa part ndogo ndogo. Ni kitabu kizuri kama unataka kuwa mwandishi mzuri wa Riwaya, Hadithi, Simulizi, Makala Na Vitabu Aina Yoyote basi uchambuzi ni mahususi kwako. Kitabu cha BIRD BY BIRD ni kitabu kizuri basi unahitaji sana kusoma kitabu hiki. Kurahisha nimekuandalia mambo yote muhimu kuhusu kitabu kwa lugha hadhimu ya Kiswahili. Hakikisha una SUBSCRIBE podcast hii --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message
…
continue reading
104 פרקים