Jinsi Ya Kuamini UWEZO Wako Na Kuamini Katika Wewe...!
M4A•בית הפרקים
Manage episode 404731227 series 3280689
תוכן מסופק על ידי Innocent Ngaoh. כל תוכן הפודקאסטים כולל פרקים, גרפיקה ותיאורי פודקאסטים מועלים ומסופקים ישירות על ידי Innocent Ngaoh או שותף פלטפורמת הפודקאסט שלהם. אם אתה מאמין שמישהו משתמש ביצירה שלך המוגנת בזכויות יוצרים ללא רשותך, אתה יכול לעקוב אחר התהליך המתואר כאן https://he.player.fm/legal.
Umekosa sapoti au kushikwa mkono Katika kazi zako au mapambano Yako? Unapitia hali ya kukataliwa na kuona hakuna anayejua thamani Yako Wala Kuamini Katika Wewe? Unapitia hali ya kukata tamaa kwenye kitu unachofanya kwa kuwa matokeo yamechelewa. Unatamani kuwa Bora ila hujui ufanye Nini? Kuna watu wanakurudisha nyuma na kutoamini katika mapambano Yako ila unashindwa kuwaondoa kwa sababu yoyote Ile. Basi... Episode hii itakupa nguvu na maarifa sahihi ya kuonyesha Uwezo Wako na Kuamini Katika Wewe yaani "BELIEVE IN YOURSELF." Sikiliza na ujifunze --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message
…
continue reading
104 פרקים