Artwork

תוכן מסופק על ידי Innocent Ngaoh. כל תוכן הפודקאסטים כולל פרקים, גרפיקה ותיאורי פודקאסטים מועלים ומסופקים ישירות על ידי Innocent Ngaoh או שותף פלטפורמת הפודקאסט שלהם. אם אתה מאמין שמישהו משתמש ביצירה שלך המוגנת בזכויות יוצרים ללא רשותך, אתה יכול לעקוב אחר התהליך המתואר כאן https://he.player.fm/legal.
Player FM - אפליקציית פודקאסט
התחל במצב לא מקוון עם האפליקציה Player FM !

Jinsi Ya KUJITAMBULISHA DM Au Kwenye Text Kwa Mara Ya Kwanza Unapomtafuta Mtu Yoyote.

8:13
 
שתפו
 
Manage episode 406395894 series 3280689
תוכן מסופק על ידי Innocent Ngaoh. כל תוכן הפודקאסטים כולל פרקים, גרפיקה ותיאורי פודקאסטים מועלים ומסופקים ישירות על ידי Innocent Ngaoh או שותף פלטפורמת הפודקאסט שלהם. אם אתה מאמין שמישהו משתמש ביצירה שלך המוגנת בזכויות יוצרים ללא רשותך, אתה יכול לעקוב אחר התהליך המתואר כאן https://he.player.fm/legal.
Kama wewe ni wale ambao unawatumia watu DM au text za kawaida Kwa Mara ya Kwanza kama vile "Niaje, Mambo, Vipi, Shwari Mkuu, Harakati Ni Vipi Kiongozi, Mrembo mambo n.k" Tambua unakosea sana Tena sana hiyo siyo Kujitambulisha badala ni salamu tu. Swali linakuja unajua jinsi ya Kujitambulisha mtu akiona DM au text Yako apate kuijibu bila kupuuzia. Unahitaji kuzingatia maeneo matano wakati unamuandika Mtu DM Yako; 1. Jina la mtu unayemtumia ujumbe wako. 2. Jina lako. 3. Shughuli Yako. 4. Hitaji au shida Yako. 5. Hitimisho. Ukizingatia mambo yote hayo DM zako zitajibiwa mpaka ushangae. Kwa mfano... "Habari kaka Amos Nyanda naitwa Innocent Ngaoh ni Mwandishi wa Vitabu pia ni mtengeneza maudhui ya mtandaoni ya kuelimisha jamii, nilikuwa naomba usaidizi ni wapi nitapata ujuzi wa copywriting Ili niwe Mwandishi mzuri wa Malala na Vitabu. Natanguliza shukurani." Mfano wa DM hiyo akiona tu lazima atajibu, Kwa sababu Iko straight to the point. Kujitambulisha ni Sanaa. Ndiyo maana... Una dakika nane za kujua Namna Rahisi ya Kujitambulisha Ili uwe GURU yaani gwiji. Chukua hatua Sasa. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message
  continue reading

104 פרקים

Artwork
iconשתפו
 
כל הפרקים

×
 
Loading …

ברוכים הבאים אל Player FM!

Player FM סורק את האינטרנט עבור פודקאסטים באיכות גבוהה בשבילכם כדי שתהנו מהם כרגע. זה יישום הפודקאסט הטוב ביותר והוא עובד על אנדרואיד, iPhone ואינטרנט. הירשמו לסנכרון מנויים במכשירים שונים.

מדריך עזר מהיר